Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona, sijui kwanini?

Anataka kukuunga na umeme mkubwa. Endelea tu
 
Mimi hata nikienda kumtembelea dada yangu wa tumbo moja silali hapo nyumbani kwake na mme wake nalala lodge, napo ni siku moja tu kesho safari
 
Yuko relaxed sana na wala hana feelings zozote na wewe yaani ana uhuru wake wala hakutaki wapo watu wa hivo kukaa uchi chumbani haoni shida na vile anajua yuko na binamu tena, usije ukamtongoza aisee utagombana naye bure.

Kingine usipende sana kuzoea vyumba vya watu wewe si mtoto wa kiume kaa njee fanya timing ya kuoga,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee baba je kama mumewe hamkamui hivyo anataka binamu amkwangue ukoko..?
 
Hio ni meseji kua uondoke anaona aibu kukwambia direct, Ila na we ndo ubongo ndo umeshindwa kutafsiri unawaza ngono tu
 
Hivi unapataje ujasiri wa kuandika bila Codes?

Mume wa muhusika akija humu unahisi atakufanya nini wewe fedhuli?
 
Mkuu huyo binamu ni mrembo?
Hebu nitumie PM namba zake haraka nimuonye..

Asije akaleta matatizo.
 
Hizo ni fikra zako potofu huenda amezoea kujiachia chumbani kwake na Mumewe.
 
Rudi Kwenu Dodoma, ungali bado unapumua na marinda yako yakiwa salama
 
Ni vile watu walishazoea maisha yao na hupenda kuwa huru wawapo kwao, jitahidi tu usepe maana kwa namna moja ama nyingine ni kama kikwazo kwa wao/binamu kuishi maisha yake/yao ya kawaida. And by the way, una moyo sana kwenda kumtembelea binamu yako wa jinsia ya ke aliolewa na kukaa kwake siku kadhaa!
 
Wewe pita ukanye kinachokufanya ugeuze shingo hadi umwone chumbani kwake ni nini kama sio umbea.na anakufanyia makusudi ili uumoe vizuri kwa umbea wako
Daa jamani, kwani kasema anaharisha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…