Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

Xiuying

Member
Joined
Mar 19, 2017
Posts
40
Reaction score
17
Habari wana jamii forum,
Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza .
Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
 
Vipi kazi ya kuuza kahawa unaweza?
 
Hujajibu swali unasema uko serious hebu jibu swali usaidike binti
 
Mwanza ni kwenu kabisa? Au kwa ndugu?
 
Habari wana jamii forum,
Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza .
Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.

Nichek inbox Xiuying
 
Back
Top Bottom