Habari wana jamii forum,
Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza .
Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.