Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
kwa kiufupi utopolo amezalilisha nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sawa, tatizo mtoa mada katumia lugha mbovumtoa Mada katoa wazo zuri Sema katumia lugha ya kitoto sana kitu kinacho fanya hoja yake isionekane yenye mashiko (muandiko wa darasa la saba B sentensi hazina ilabu mwishoni [emoji23][emoji23][emoji23]) back to the point nakupinga kitu kimoja ligi yetu Ina thamani kuliko ligi ya Uganda kutoka na mafaniko tuliyo yapata misimu 4 kweny CAF champion (simba SC) imetufanya tuwe na timu nyingi pia zinazo pewa nafasi kushiriki lakini ukija kwenye viwango vya FIFA Uganda kama nchi yupo juu Zaidi yetu lakini ligi Yao ya ndani tunaizidi naomba kuwasilisha
Ni kweli hata kagera sugar, prison, mtibwa walikuwa wanawapa marefa rushwa... Ndo maana kolo alishindwa kuchukua ubingwaAibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!!
NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania Rushwa imetawala kwenye waamz wetu na ndo imepelekea kutupatia bingwa FEKI!! Nin maon yako ili tuboreshe Soka letu!! Karibun
Kama lig yetu Ni Bora kuliko ya Uganda Ni nin hasa kimechangia bingwa wetu kuweza kufungwa na wachezaje Tena wa majaribio wa kilabu ya Vipers???mtoa Mada katoa wazo zuri Sema katumia lugha ya kitoto sana kitu kinacho fanya hoja yake isionekane yenye mashiko (muandiko wa darasa la saba B sentensi hazina ilabu mwishoni 😂😂😂) back to the point nakupinga kitu kimoja ligi yetu Ina thamani kuliko ligi ya Uganda kutoka na mafaniko tuliyo yapata misimu 4 kweny CAF champion (simba SC) imetufanya tuwe na timu nyingi pia zinazo pewa nafasi kushiriki lakini ukija kwenye viwango vya FIFA Uganda kama nchi yupo juu Zaidi yetu lakini ligi Yao ya ndani tunaizidi naomba kuwasilisha
Simba washa ifunga Al Ahly unataka kusema ligi yetu ni bora kuliko Egypt au Al Ahly ni mabingwa wa mchongo?Kama lig yetu Ni Bora kuliko ya Uganda Ni nin hasa kimechangia bingwa wetu kuweza kufungwa na wachezaje Tena wa majaribio wa kilabu ya Vipers???
Mzee mbona unatukana wakunga ungali mjamzito? Vuka mto kwanza ndio ukashfu mamba. Duh!Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!!
NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania Rushwa imetawala kwenye waamz wetu na ndo imepelekea kutupatia bingwa FEKI!! Nin maon yako ili tuboreshe Soka letu!! Karibun
viper timu ndogo?Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!!
NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania Rushwa imetawala kwenye waamz wetu na ndo imepelekea kutupatia bingwa FEKI!! Nin maon yako ili tuboreshe Soka letu!! Karibun