Bingwa wa mchongo wa NBC Tanzania azalilishwa akiwa nyumban na Tim ndogo sana

Upo sawa, tatizo mtoa mada katumia lugha mbovu
 
Ni kweli hata kagera sugar, prison, mtibwa walikuwa wanawapa marefa rushwa... Ndo maana kolo alishindwa kuchukua ubingwa
 
Kama lig yetu Ni Bora kuliko ya Uganda Ni nin hasa kimechangia bingwa wetu kuweza kufungwa na wachezaje Tena wa majaribio wa kilabu ya Vipers???
 
Kama lig yetu Ni Bora kuliko ya Uganda Ni nin hasa kimechangia bingwa wetu kuweza kufungwa na wachezaje Tena wa majaribio wa kilabu ya Vipers???
Simba washa ifunga Al Ahly unataka kusema ligi yetu ni bora kuliko Egypt au Al Ahly ni mabingwa wa mchongo?
 
Simba washa ifunga Al Ahly unataka kusema ligi yetu ni bora kuliko Egypt au Al Ahly ni mabingwa wa mchongo?
Simba pind inawafunga hao ilikuwa ugenin au hapa Bongo?? Maana kinachotutia hasra Zaid Ni Yanga kufungwa akiwa nyumban!!
 
Mzee mbona unatukana wakunga ungali mjamzito? Vuka mto kwanza ndio ukashfu mamba. Duh!
 
Tatizo la Yanga linaanzia kwenye ule mwiko! Sehemu walipouweka si sahihi kabisa, wangeutoa wauweke hata kichwani
 
viper timu ndogo?
 
Yanga ubingwa ulikuwa haki yao sbb simba tulikuwa dhaifu sana msimu ulio isha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…