Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo hayaihusu simba.Mmemsajili Morrison hata kesi haijaisha? Ina maana Simba wanajua maamuzi ya kamati?
hakuna kitu kinauma kama kupigwa goli 4 kifigisufigisu za kuhonga baadhi ya wachezaji na kuchukuliwa mchezaji wetu special.Viongozi wetu wametufanyia upumbavu View attachment 1530931
Ha ha vilaza nyie nani awahonge hilo team libovu ili awafunge nne. Tumieni akili hata kidogo basi. Niletee takwimu ya team mliyo ifunga hata goli nne halafu let a za Simba tulizofunga gori nne. Mmekua wajinga mpaka huruma.hakuna kitu kinauma kama kupigwa goli 4 kifigisufigisu za kuhonga baadhi ya wachezaji na kuchukuliwa mchezaji wetu special.
Yanga tumenyanyaswa sana msimu huu, viongozi acheni ugoigoi haswa mwenyekiti tafuteni wawekezaji, mpira ni pesa, angalia sasa hizi dharau na kejeli upande wa pili[emoji23][emoji58][emoji58]
Mbona mlisajiri Hassan Kessi akiwa kwenye Mkataba na Simba.Mmemsajili Morrison hata kesi haijaisha? Ina maana Simba wanajua maamuzi ya kamati?
Tena ni upumbavu wa hali ya juu. Mchezaji mshenzi kama huyo unamletaje Simba? Pumbavu zako Mo Dewji! Pumbavu zako Kiongozi yoyote wa Simba aliyekubali kumleta mpumbavu Morrison Simba!Viongozi wetu wametufanyia upumbavu View attachment 1530931
pia Athumani iddy chuji walifanya hivyoMbona mlisajiri Hassan Kessi akiwa kwenye Mkataba na Simba.
Au anaruhusiwa Yanga tu.
We ni mzee kilomoni nini?!?!We jamaa...ukubali ukatae huu ni upumbavu Morrison likua haitajiki pale Msimbazi ndani na nje ya uwanja hapa viongozi wamechemka zaidi naona ni kuwakomoa yanga ila ni UPUMBAVU.
Maneno ya mkosaji hayo!!! Yaani badala ya kuwaona viongozi wenu ndio wendawazimu kwa kuwadanganya mnamuona morison ndio mwendawazimu?!!!Afadhali mwendawazimu kaondoka
Suala sio kumsajili ana mkataba ama la. Suala ANASAJILIWAJE Simba mchezaji mhuni kama Morrison? Au kwakuwa kafanya Yanga basis akija Simba atakuwa tofauti? Uliishawahi kusikia Shetani kabadilika kuwa Malaika?Mbona mlisajiri Hassan Kessi akiwa kwenye Mkataba na Simba.
Au anaruhusiwa Yanga tu.
upuuzi wa kiwango cha SGRViongozi wetu wametufanyia upumbavu View attachment 1530931
alishindwa kubadilika South ligi kubwa maslahi makubwa ilakuwa bongo?Suala sio kumsajili ana mkataba ama la. Suala ANASAJILIWAJE Simba mchezaji mhuni kama Morrison? Au kwakuwa kafanya Yanga basis akija Simba atakuwa tofauti? Uliishawahi kusikia Shetani kabadilika kuwa Malaika?
Ndio hapo ninajiuliza, mchezaji mpumbavu na aliyeshindikana kama huyo unmsajilije? Brescia wanajuta leo kwa kumsajili Balotelli.alishindwa kubadilika South ligi kubwa maslahi makubwa ilakuwa bongo?
We ni mzee kilomoni nini?!?!
Nani ahonge timu mbovu mmeacha wachezaji kibao kudhiilisha ubovu wa timu yenuhakuna kitu kinauma kama kupigwa goli 4 kifigisufigisu za kuhonga baadhi ya wachezaji na kuchukuliwa mchezaji wetu special.
Yanga tumenyanyaswa sana msimu huu, viongozi acheni ugoigoi haswa mwenyekiti tafuteni wawekezaji, mpira ni pesa, angalia sasa hizi dharau na kejeli upande wa pili[emoji23][emoji58][emoji58]