Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

Bayern Katoka kupigwa 5 - 0 halafu anajifanya kuwaamini sana.
 
Acha ushabiki,Moja ya timu Bora msimu huu ni Chelsea , nawaona wakicheza fainali tena wako vizuri idara zoooote!!!!
 
Aisee hivi kumbe bado kuna watu mpaka leo hii teyari wameshamjua bingwa ni nani tena kupitia group stage mapema yote hii 😆
 
Mwisho wa siku kikubwa ni ushindi uwe umepata tabu au hujapata tabu
 
Maji kupwa na maji kujaa anaongoza epl anaongoza kundi UEFA ni bingwa mtetezi wa UEFA sijui kichwa chako unatumia kufanyia nini
 
Its all City / Liverpool/ Chelsea, hizi ndio timu bora kwa sasa, positional play is not well implemented by Nagelsmann, Bayern namtoa kwenye ubingwa.
 
Inafika hatua hata sisi mashabiki wa Chelsea tunaiogopa timu yetu.

Naamini Kwasasa hakuna timu kubwa inayotaka kucheza na Chelsea.
 
Soma vizuri anachoongelea jamaa
 
Kwani Chelsea alivyochukua ,EPL alikuwa nafasi gani? Au Liverpool 2005 EPL alishika nafasi ya ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…