Watu wa Chelsea mlijiona timu yenu ni ya kipekee sana, haya kichwa chako wewe mwana chelsea unakitumia kufanya nini?Maji kupwa na maji kujaa anaongoza epl anaongoza kundi UEFA ni bingwa mtetezi wa UEFA sijui kichwa chako unatumia kufanyia nini
Nakusalimia kwa jina la Benzema...Acha ushabiki,Moja ya timu Bora msimu huu ni Chelsea , nawaona wakicheza fainali tena wako vizuri idara zoooote!!!!
Amka utakata kimba kitandani hiyo ndoto sio nzuriBingwa Villarreal
Amka utakata kimba kitandani hiyo ndoto sio nzuri
Kila siku tunakuambia uache ngebe ona sasa unavyojiabishaCheki hii takataka
Hawatakutana kweli...Labda.wasikutane na Man city
πππ we jamaaAmka utakata kimba kitandani hiyo ndoto sio nzuri
Bayern walishatoka siku mingiKwa michezo kadhaa niliyofuatilia msimu huu, naona bingwa wa msimu huu atakuwa kati ya Bayern Munich au Liverpool.
Kwa upande wa Liverpool itategemea endapo hatakutanishwa na waingereza wenzie maana anaweza kumsumbua kwavile wanajuana.
Naaam[emoji4][emoji120]Sisi Real Madrid tuna waangalia tu mnavyo pambana finally it's going back home
Naaam[emoji4][emoji120]Hamta amini macho yenu
Hongera nkuu, you're the only one who got your stakes right.Sisi Real Madrid tuna waangalia tu mnavyo pambana finally it's going back home
Liverpool kachukua ?Man city PSG na Barcelona aina ya mpira wao wanaocheza hawawezi kuja kuchukua tena UEFA hata siku moja labda wabadilike wanacheza mpira wa kitoto sana.