Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

Maji kupwa na maji kujaa anaongoza epl anaongoza kundi UEFA ni bingwa mtetezi wa UEFA sijui kichwa chako unatumia kufanyia nini
Watu wa Chelsea mlijiona timu yenu ni ya kipekee sana, haya kichwa chako wewe mwana chelsea unakitumia kufanya nini?
 
Final ni Real Madrid vs Liverpool, ni fainali ya wanaume wa ulaya au wazoefu wa champions league. Real Madrid wakitaka kuongeza gap kwa kubeba kombe mara ya 14 huku Liverpool ikitaka kupigania kombe la saba ambapo itakuwa ni sawasawa na Ac Milan wanashika nafasi ya pili. Ni fainali inayokutanisha timu zenye DNA za champions league hivyo itakuwa bonge la mechi.
 
Kwa michezo kadhaa niliyofuatilia msimu huu, naona bingwa wa msimu huu atakuwa kati ya Bayern Munich au Liverpool.

Kwa upande wa Liverpool itategemea endapo hatakutanishwa na waingereza wenzie maana anaweza kumsumbua kwavile wanajuana.
Bayern walishatoka siku mingi
 
Back
Top Bottom