Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

Hapo tena kuna ushauri mkuu

Mwambie kuwa kuna mashamba ya serikali aende akalime kufanya kazi bure na malipo bure, akajichagulie eka zake huko mbele

Kuna kademu kalicheat

Nilikutana nacho kazini mara mazoea na tukawa wapenzi nimeishi naye kitambo kidogo kumbe alikuwa na mtu wake na the first time nakutana naye nilimwambia kuwa sipendi kuingilia mahusiano ya mtu hakikisha hauna mtu ndio tunaanza mahusiano akasema hana mtu na hawezi kunifanyia hivyo siku zikaenda

Kuna siku kikanipigia kibaba kinalia kuwa nimemchukulia msichana wake ambaye ana mipango naye, jamaa niliongea naye takribani masaa 4 Na 30

Baada kama ya mwezi ndio nikamwambia huyo she kilichotokea, alilia nusu afe Coz nilikuwa namzimgatia everything a too... nikamuomba aende taratibu alinigomea nikamwambia nitakuachia nyumba na mziki wa kulipa nyumba sio mchezo akakubali akaenda

Tunaendelea na mawasiliano coz sikugombana naye sababu najua sanaa kuhusu relationship

Anakoma maana sasa hivi amechoka balaa nimegundua kuwa nilikuwa zaidi ya baba yake, kama simuoni vilee
 
Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi . Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena

Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.

Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito

Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua

Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine

Hizi ni baadh ya msg zake:

Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.

Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.

Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.

Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako
naomba nafasi tena moyoni mwako.

Nina streesss CNA mpenzii Ata wakupanga nae kitu.

Sio kwamba hawapo wapo wengi Sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.

Huyu mtu unamshauri nin au nifanyaje
Acha ufala utaumia
 
Tapeli hilo
 
Ni kosa kubwa sana kumrudia mwanamke aliyekuacha kwa kuwa ulikwama kimaisha,huyo ni mjasiliamali tu achana naye.
 
Aisee huna msimamo kabisa, alikuacha mwenyewe three years back? Now amerudi unataka kumbeba?
Lea huyo ulie nae sasa
 
We msamehe tu na fufua penzi. Ichakaze mbususu kila ukipata nafasi na hata siku moja usiwe na malengo naye. Kazi yako ni kulipa deni, akija na pigo za hela mwambie wee ni wife material hela za nini wakati najichanga kuleta posa kwenu. Usiache kuichakaza mpaka afubae. Katu usimwache atakuacha mwenyewe tena,
 
I'm late. Lakini hako kabinti kanakuchezea akili. Kanasema kako-lonely hakana hata mtu wa kupanga nae vitu na hapohapo kanasema wapo wengi wenye kila kitu.

CONTRADICTION!!!
 
Aende alikoenda mwanzo kashakuonyesha ukiwahuna Hela wewe ni takataka kwake. Mkuu hujaona?
 
Back
Top Bottom