Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi. Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena

Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.

Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito

Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua

Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine

Hizi ni baadh ya msg zake:

Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.

Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.

Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.

Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako naomba nafasi tena moyoni mwako.

Nina streesss sina mpenzii hata wakupanga nae kitu.

Sio kwamba hawapo wapo wengi sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.

Huyu mtu unamshauri nini au nifanyaje.
Nikikutana na wanaume wasio na maimamo kama wewe hua natamani mngeongezwa kwa list ya madem tushindue tu, sasa una mwanamke mwenye mimba unahangaika na nini duhhh shida sana,,,
 
Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi. Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena

Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.

Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito

Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua

Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine

Hizi ni baadh ya msg zake:

Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.

Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.

Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.

Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako naomba nafasi tena moyoni mwako.

Nina streesss sina mpenzii hata wakupanga nae kitu.

Sio kwamba hawapo wapo wengi sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.

Huyu mtu unamshauri nini au nifanyaje.
Patamu hapo maneno mazurii unaingizwa mkengee ili umtende mtoto watu na ana mimba yako
 
Acha ujinga huoo.....usimtende huyo binti tena mja mzito....thamini sana kiumbe chakooo.....ogopa laana wadada
 
Wanaume wanapungua kwa kasi, sijui mabinti zetu miaka hiyo ya mbele itakuwaje.

Mkuu unaanzaje kuwa na kiongozi wa familia wakat vitu vidogo vidogo kama hivi vinakushinda.

WANAUME HATUENDESHWI NA MOYO kwenye mapenzi, hisia weka mbali, tazama uhalisia.
 
Back
Top Bottom