Binti aliyetolewa mahari katoroka na mwanaume mwingine

Hivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi.

Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na haijulikani wako maeneo gani kwa sasa.
Nyundona wenzake wapewe jukumu la kumpa adhabu huyo mwanamke
 
Nazani Mungu aliondolea akili kabsa baadhi ya binadamu. Bila shaka we ni mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…