HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Mpeleke Hospitali Kubwa Haraka....Inawezekana Alichomoa Kiumbe Kienyeji
Mpeleke oshenroad haraka sana.Habari wana jamii.
Nahitaji msaada wa ugonjwa ambao umempata binti ambaye ni mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka 18.
Binti huyu ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika ni ugonjwa gani. Alianza kwa kuugua tu kawaida alipoenda kupima afya akagundulika ana U.T.I na malaria. Baada ya tiba hali ilibadilika akapata upele mfano wa vipele vya tetekuwanga hali ikabadilika akawa ni mtu ambaye analia kwa kuugulia maumivu
Mabadiliko yakazidi kuwa makubwa mpaka sehemu za siri ambapo binti kwenye nyeti zake katokwa na mapele makubwa mfano wa yale mapele yanayopatikana ukiwa umenyoa nyeti kwa wembe kibaya zaidi nyama ya ndani ya uke imechomoza kutoka nje na anatokwa na maji mengi mfano ya jasho hayatoki kwa wingi kama period ila yanatoka kwa taratibu yeye mwenyewe anadai kusikia maumivu anayoyapata ni kama anaungua moto kwenye uke tumejaribu kumpeleka kituo cha afya wameshindwa kuutambua ni ugonjwa gani kwa sasa yupo zahanati japo mpaka sasa hatujui ni ugonjwa gani ana unasababishwa na nini na tiba yake ni ipi kwa yoyote mwenye kuufaham ugonjwa huu atupe mrejesho na muongozo wa matibabu ya binti huyu .
Asanteni.
Wahi hospitali kubwa, Ni magonjwa ya ngonoHabari wana jamii.

Mkuu kwa picha mmmh,,labda nenda Google ka search HPV utaonaInatokaje unapicha please?
Mkuu nina jambo la kuku uliza naomba nije dmMkuu kwa picha mmmh,,labda nenda Google ka search HPV utaona
Saw tutajaribu kumuuliza japo mchakato uliopo kwa sasa ni kumpeleka hospitaliHali ya nyama za ndani za uke kutoka nje iliwahi kumkuta rafiki yangu wa kike,aliumwa kwa muda mrefu na hatimaye kufariki dunia.Sababu ya nyama kutoka nje ilikuwa amefanya utoaji mimba kwa njia za kienyeji mambo yakaenda ndivyo sivyo.
Muulizeni vizuri,huku akipelekwa hospital kubwa.
Asante kwa ushauri🙏Ongeeni nae vizuri asimulie historia yake ya aliopita nao.
Mpelekeni kwenye hospital bila kujali ni kubwa au ndogo iwe tuu yenye madaktari makini.
Ikishindikana kote, mje tufanye maombi maana mbele za Mungu hakuna kinachoshindikana
Asante chief nitareta mrejesho baada ya kutoka hospitalicalitho sikikiza ushauri muhimu, mpelekeni kijana hospitali ya rufaa acheni kucheza na afya.
Pili ikiahindikana huko kwenye rufaa ndipo uje hapa jukwaani kuwa imeshindikana.
Duniani kuna magonjwa mengine siyo ya hospitali, nitakupa tiba yake hadi utoke kwenye rufaa na ionekane mme_ failure!
!.
iyo ya waume za watu naskia ina wakuta sana wasichana unapigwa juju ni mwendo wa period non stop nasikia ilimkuta demu mmoja tulikuwa tunapiga naye job ,mtaalamu alimuokoaCha kwanza nashauri muende hospital kubwa Kwa vipimo vikubwa zaidi (tokeni hapo zahanati)
Pili ,maombi nayo muhim jmn pamoja na hospital vyote vifanyike,mabinti sshv wadogo ila Wana mambo mengi wazazi hamyajui....
Asije kuwa kagusa waume za watu ,Mungu amsaidie visa vya hivi vimekuwa vingi sshv wenye waume zao anakuonya mara kadhaa akiona husikii kifuatacho ..
Kila Mara nmewaambia humu Ndani, Magonjwa yahusuyo NGOZI na sehem zake, Huwa yanahitaji Kuonwa.Habari wana jamii.
Nahitaji msaada wa ugonjwa ambao umempata binti ambaye ni mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka 18.
Binti huyu ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika ni ugonjwa gani. Alianza kwa kuugua tu kawaida alipoenda kupima afya akagundulika ana U.T.I na malaria. Baada ya tiba hali ilibadilika akapata upele mfano wa vipele vya tetekuwanga hali ikabadilika akawa ni mtu ambaye analia kwa kuugulia maumivu
Mabadiliko yakazidi kuwa makubwa mpaka sehemu za siri ambapo binti kwenye nyeti zake katokwa na mapele makubwa mfano wa yale mapele yanayopatikana ukiwa umenyoa nyeti kwa wembe kibaya zaidi nyama ya ndani ya uke imechomoza kutoka nje na anatokwa na maji mengi mfano ya jasho hayatoki kwa wingi kama period ila yanatoka kwa taratibu yeye mwenyewe anadai kusikia maumivu anayoyapata ni kama anaungua moto kwenye uke tumejaribu kumpeleka kituo cha afya wameshindwa kuutambua ni ugonjwa gani kwa sasa yupo zahanati japo mpaka sasa hatujui ni ugonjwa gani ana unasababishwa na nini na tiba yake ni ipi kwa yoyote mwenye kuufaham ugonjwa huu atupe mrejesho na muongozo wa matibabu ya binti huyu .
Asanteni.
Wewe ulipata ugonjwa gani, tiba gani ulitumia, dalili zilikuwaje, funguka Ms Rhakika condoms zitumike tu,, magonjwa mengi mnoooo m mwenyewe sikuwahi waza wala fikiria,,yaani kam mimi mwanzo tu sehem zilkua vile yeye je,,kama ni huo huo lakini kama ni tofauti na nlopata mimi mmmh sjui
Pole sanaNgono zembe zitatuua hakika safari hii,ukiachana na ukimwi magonjwa mengi sana ya ngono ya kutisha,,io shida nmenusurika karibuni tu,sema mm niliwahi,nyama ya uchi ya ndani inakua ngumu inachomoza nje,na hayo yanayoota wanaita masundosundo sjui aaah,,na hauna dawa rasmi hospital naskia pia,,niljitibia kienyeji nyumbani tu,kam nayeye ni ivo imefika stage kubwaaa....
Afanye vipimo hiviHabari wana jamii.