Binti ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika

Asante mkuu nitazingatia ushauri wako na nitaleta mrejesho endapo tatizo litashindwa kutatulika kwa haraka
 
Pole Sana wanaosema ni magonjwa ya zinaa ni Kama wamekariri nakuomba táfuta matibabu katika hosptali inayoeleweka. Atapona.
 
Wasiliana nami moja kwa moja kuona namna gani ya kuweza kumsaidia
 
Aanze na kupimwa Ukimwi kabla ya vipimo vyote hivyo.
 
Viashiria vya kansa stage one, tuwasiliane kwa 0713 039 875
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…