Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

Pete kitu gani mkuu.
Kuna maisha baada ya pete na ndoa.
Kiufupi huyo demu hajui maisha na ukioa demu wa aina hiyo utateseka maisha yako yote.
Huyo demu atakuja kuwa na akili akishamaliza chuo akaja kupigika mtaani kwa miaka 5 ndipo akili itamkaa sawa.
 
Kwa kiufupi huyo demu sio wife material.
Ni demu wa kuishi maisha ya kuiga.
Tena jamaa ashukuru amemgundua mapema,hilo zigo halibebeki.
 
Hahaha naona umeamua kumsagia kunguni kbsa mwanamke mwenzio,sisi Kazi yetu ni kupiga spana tu ,ushauri huu mtoa mada auchukue kama ulivyo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha naona umeamua kumsagia kunguni kbsa mwanamke mwenzio,sisi Kazi yetu ni kupiga spana tu ,ushauri huu mtoa mada auchukue kama ulivyo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ni mpumbavu sana. Anaishi maisha ya insta. Sasa wa kazi gani. Ujinga mtupu. Yaan kiufupi ni binti anataka ampelekeshe jamaa mbali na kwamba jamaa alikosea kutokumueeka wazi binti.

Pia unashauriwa. Kuwa makini sana na aina ya marafiki yuko nao mkeo. Yaan hao ndo wanadetermine ndoa yake. Me mwenyewe wifi kichaa, ukikaa vibaya nakuwasha vibao
 
Mwanaume mzima unashindwa kuchonga hata Plastik la mapapai!! mwambie hiyo ni million saba!! haipatikani Bongo! si unampenda kuwa Muongo! muongo! tu kwa nini uutese moyo wako kwa kwenda kwingine!! mpige sound tu! ipakae hata rangi ya mafuta tu!

hawakawiagi kuchoka hawa!! siku akigutuka!! kuwa wewe ni muongo amesha tumika ngozi mkunjo, ana watoto saba! hapo ndo achague aende akaolewe kwingine wanao akuachie hapo! au avumilie!

usimuache huyo ana kismart si unaona mambo yako yanaenda? nenda kula nae sambamba tu! taelewa baadae sana! ila mpige sound tu! me gani huna ngenga bana! huyo anajazwa maneno na wasio mtakia mema!
 
Waziri mkuu wa UWABATA ahaaaaaaaaaaa nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…