Nawashukuru Sana
Member
- Dec 11, 2024
- 94
- 240
Habari ya uzima.
Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri.
Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k
Angependa alipwe 200-250K
Sifa zake.
Umri 24
Mchapaka Kazi
Anafundishika.
Mtu wa kujituma na kutoa matokeo .
Yupo DSM Kwa sasa .
Mawasiliano 0658124288, au waweza ni PM.