Nawashukuru Sana
Member
- Dec 11, 2024
- 94
- 240
Mawasiliano yapo mkuuWeka mawasiliano ya binti
ππ½ππ½ππ½Kila lakheri kwake.
ππ½ππ½ππ½ .All the Best
Hapo kwenye angependa alipwe hapo π π π πHabari ya uzima.
Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri.
Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k
Angependa alipwe 250-300K
Sifa zake.
Umri 24
Mchapaka Kazi
Anafundishika.
Mtu wa kujituma na kutoa matokeo .
Yupo DSM Kwa sasa .
Mawasiliano 0658124288, au waweza ni PM.
Labda apate ajira ya kuolewa atalipwa zaidi ya hioHapo kwenye angependa alipwe hapo π π π π
wanafanyia nini hizo bikraKuna ofisi moja ya warabu wanatoa ajira ila sharti binti au kijana awe bikra km ni bikra nikupe contact zao muwasiliane
Mshahara ni km dola 500 kwa mwezi na wanafanya kaz masaa7 kwa sku 5
from foo anataka lak mbiliHapo kwenye angependa alipwe hapo π π π π
Sio mbaya lakini anahitaji Pesa za kujikimu na mambo mengine.from foo anataka lak mbili
Itakua wanazitoa!wanafanyia nini hizo bikra
Anajua kutumia Arch GIS? Anajua kutumia Autocad? Anajua kutumia Epanet?Habari ya uzima.
Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri.
Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k
Angependa alipwe 200-250K
Sifa zake.
Umri 24
Mchapaka Kazi
Anafundishika.
Mtu wa kujituma na kutoa matokeo .
Yupo DSM Kwa sasa .
Mawasiliano 0658124288, au waweza ni PM.
AnajuaAnajua kutumia Arch GIS? Anajua kutumia Autocad? Anajua kutumia Epanet?