Poleni kwa majukumu wana JF.
Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa.
Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi:
- Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde
- Ana umri wa miaka 26
- Elimu, ana diploma ya mambo misitu na ana mpango wa kujiendeleza kielimu
- Ni mkristu mcha Mungu
- Amejiajiri
- Alipo kwa sasa: Dar
Mchumba anayemtaka
- Awe Mcheshi na awe na upendo wa kweli.
- Awe msomi wa ngazi ya diploma na kuendelea
- Awe mrefu 155 cm na zaidi
- Asiwe mnene sana
- Awe amejiajiri au ameajiriwa na awe serious na maisha
- Awe Mkristu
Mawasiliano
Mwenye vigezo husika hapo juu amtumie email mhusika kwa 'faith.andrew10@gmail.com', akiambatanisha na picha. Namba za simu na picha za mhusika zitatumwa kwenye email kwa mwenye vigezo.
Nawasilisha