Vodka
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 906
- 96
wewe mzima kweli??!nna kaka yangu anaPhd ila umri wake mkubwa miaka45 .pia ungeweka hata picha inayoonyesha makalio maana anapenda makalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mzima kweli??!nna kaka yangu anaPhd ila umri wake mkubwa miaka45 .pia ungeweka hata picha inayoonyesha makalio maana anapenda makalio
Poleni kwa majukumu wana JF.
Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa.
Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi:
- Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde
- Ana umri wa miaka 26
- Elimu, ana diploma ya mambo misitu na ana mpango wa kujiendeleza kielimu
- Ni mkristu mcha Mungu
- Amejiajiri
- Alipo kwa sasa: Dar
Mchumba anayemtaka
- Awe Mcheshi na awe na upendo wa kweli.
- Awe msomi wa ngazi ya diploma na kuendelea
- Awe mrefu 155 cm na zaidi
- Asiwe mnene sana
- Awe amejiajiri au ameajiriwa na awe serious na maisha
- Awe Mkristu
Mawasiliano
Mwenye vigezo husika hapo juu amtumie email mhusika kwa 'faith.andrew10@gmail.com', akiambatanisha na picha. Namba za simu na picha za mhusika zitatumwa kwenye email kwa mwenye vigezo.
Nawasilisha