Binti anatafuta Mchumba

Binti anatafuta Mchumba


Mkuu umekitumia wee halafu sasa ndo unataka kumuacha?
Mwambie aingie mwenyewe atafute?
 
Poleni kwa majukumu wana JF.
Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa.
Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi:
- Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde
- Ana umri wa miaka 26
- Elimu, ana diploma ya mambo misitu na ana mpango wa kujiendeleza kielimu
- Ni mkristu mcha Mungu
- Amejiajiri
- Alipo kwa sasa: Dar

Mchumba anayemtaka
- Awe Mcheshi na awe na upendo wa kweli.
- Awe msomi wa ngazi ya diploma na kuendelea
- Awe mrefu 155 cm na zaidi
- Asiwe mnene sana
- Awe amejiajiri au ameajiriwa na awe serious na maisha
- Awe Mkristu

Mawasiliano
Mwenye vigezo husika hapo juu amtumie email mhusika kwa 'faith.andrew10@gmail.com', akiambatanisha na picha. Namba za simu na picha za mhusika zitatumwa kwenye email kwa mwenye vigezo.
Nawasilisha

aje mwenyewe kwa nini atumie mtu wa 3 na yeye ni msomi tena ana diploma? acha kuchekesha wewe. hivi ninyi suala la kuoa mnaona ni kama suala dogo sana kama ambavyo serikali ya mr.dhaifu inavyochukulia suala la ufisadi.
 
Back
Top Bottom