BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
- Thread starter
-
- #201
Ana bwana WA WAPI? MKE WA mtu unaeza FANYA HIVO? Au unapambana kumsafishaSio mtoto huyo ni mtu mzima ana miaka 28 na ana watoto ni mama kabisa ameolewa mara 2 na zote ameachwa sasa hivi ana bwana mwingine
AU WEWE NDO HUYO DADA UMEKUJA NA I'D FEKITuliza kidude hicho usinifokee
kaka NILICHO kigundua wake KWA waume WA bongo tunapenda SANA hayo mambo, HATA waliompa umaarufu NAZANI ni WA bongoMtoa mada nadhani umepata muongozo. Si umeona tangu asubuhi mpaka sasa tayari uzi una kurasa 10?
Oya huyo manzi ana bwana mwingine sasa hivi, aliolewa mara 2 akaachwa sasa hivi ana bwana mwingine na ana watoto ni mama huyo sio binti kashashusha injini kadhaa, kilichotokea binti huyo wa zamani alikua anataka pesa za short cut akafungua page Facebook akaipa jina Queen Nadia TV baada ya hapo akaanza kupiga hizo adult content kwenye reels ndio ikawa hivyo sasa akawa anawatambia watu kwamba akaunti yake inasoma USD 1,114 ushanielewa mpaka anafungiwa akaunti yake ilikua inasoma USD 230,000 hizo ni dollar ziletwe kwenye madafu usome ni kiasi gani, akaunti yake imepigwa ban na kupigwa chini na hela hajapewa hata Dollar 1Ana bwana WA WAPI? MKE WA mtu unaeza FANYA HIVO? Au unapambana kumsafisha
Sasa MKUU UNGE yasema hayo TANGU mwanzo TUNGEFIKISHANA HUKU? MBONA ungenielekeza TU VIZURI INGE kuwa POA bwana mkubwaOya huyo manzi ana bwana mwingine sasa hivi, aliolewa mara 2 akaachwa sasa hivi ana bwana mwingine na ana watoto ni mama huyo sio binti kashashusha injini kadhaa, kilichotokea binti alikua anataka pesa za short cut akafungua page Facebook akaipa jina Queen Nadia TV baada ya hapo akaanza kupiga hizo adult content kwenye reels ndio ikawa hivyo sasa akawa anawatambia watu kwamba akaunti yake inasoma USD 1,114 ushanielewa mpaka anafungiwa akaunti yake ilikua inasoma USD 230,000 hizo ni dollar ziletwe kwenye madafu usome ni kiasi gani, akaunti yake imepigwa ban na kupigwa chini na hela hajapewa hata Dollar 1
Vipi wewe ulikuwa makini?Hata Mimi nilikaona fb kule kwa bahati mbaya
Sema kanafunua na kufunika chap km haupo Makini huoni kitu
Sasa hivi kukutana ni hizo content kwenye mitandao ya kijamii ni kawaida, hata Kama siyo mapenzi, hapo akili kichwani kwako tu.Ukiamua kumpa mtoto smartphone mpe na elimu pia ya kumuongoza, hayo mambo 'ya ajabu' yapo hata mitaani. Parental guidance is very important.
Aisee, someone's future wife
Tuishi
Uyo sio mtanzania ni mtu wa Zambia kitu kama icho ila wamemfungia tayarDAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa, kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee, INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
Ushanielewa kwa hio sasa hivi amefungua tena page nyingine inaitwa Queen Nadia TV 2 mfuate ukaone anavyowalalamikia mlimreport afungiwe na kupoteza vibunda ni million kadhaa zimempita shwaa yaan ndani ya siku 28 amepata views Billion na ushehe na dollars zimejaa tarehe 21 ndio alitakiwa kutoa hizo hela kabila ya tarehe 21 Facebook wakafunga na kuifuta akaunti yakeSasa MKUU UNGE yasema hayo TANGU mwanzo TUNGEFIKISHANA HUKU? MBONA ungenielekeza TU VIZURI INGE kuwa POA bwana mkubwa
UKO SAHIHI kabisa WANAUME TULIVO waajabu, HUYO DADA utashangaa anaolewa TENA na MTU MWENYE Mali au mstaarabu KWA mgongo eti nataka nimbadili, kumbe hakuna lolote tamaa TU ya ngono na urafi WA chinichiniAisee, someone's future wife
Kaka pitiapitia HUMU VIZURI MBONA picha WANA washa tupiaUzi bila picha mkuu😛
Hujaona MkuuUzi bila picha mkuu😛
Ni Mzimbabwe ameishi Zimbabwe na South Africa ila ni mzaliwa wa Harare, Zimbabwe ni Mshangazi km mnavyowaita huko bongo ile midada ya mjini MishangaziUyo sio mtanzania ni mtu wa Zambia kitu kama icho ila wamemfungia tayar
Content zake anaziita view once
Anaitwa Nadia
Mpo vizur wewe ni mmoja wa viewer wake 😂😂😂Ni Mzimbabwe ameishi Zimbabwe na South Africa ila ni mzaliwa wa Harare, Zimbabwe ni Mshangazi km mnavyowaita huko bongo ile midada ya mjini Mishangazi
Basi hao Facebook, NAO miyeyusho SANA wanakuwa WAPI MPAKA MTU anaeneza ujinga kiasi KILE, Sasa wanashituka SAIVI MTU video zake zisha sambaa na WATU wanazo tiyari LABDA kama WAO WALIKUA wana hofia kufilisika KWA KUTOA kibunda na SI vinginevoUshanielewa kwa hio sasa hivi amefungua tena page nyingine inaitwa Queen Nadia TV 2 mfuate ukaone anavyowalalamikia mlimreport afungiwe na kupoteza vibunda ni million kadhaa zimempita shwaa yaan ndani ya siku 28 amepata views Billion na ushehe na dollars zimejaa tarehe 21 ndio alitakiwa kutoa hizo hela kabila ya tarehe 21 Facebook wakafunga na kuifuta akaunti yake
Sijaview chochote vipi unataka nikuview wewe unionyeshe nione km ina maajabu yoyote?Mpo vizur wewe ni mmoja wa viewer wake 😂😂😂
Basi anamuonekano MZURI, ukimcheki utazani kitoto cha elf mbiliNi Mzimbabwe ameishi Zimbabwe na South Africa ila ni mzaliwa wa Harare, Zimbabwe ni Mshangazi km mnavyowaita huko bongo ile midada ya mjini Mishangazi