Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa, kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee, INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
Huyo sio Mtanzania ni Mzimbabwe.
 
Baadhi ya watu wanakuwa na wivu na uchi wa watu wengine!

Nyie ndio wale watu kama ni mwanaume ukimfumania mkeo unamuua utafikiri huo uchu wake ulizaliwa kwa ajili yako!
 
huyu jamaa anamuongelea mdada fulani hivi yule ni Content Creator wa Zambia staili yake ndio hiyo anafunua nguo kwa mbele kwa Spidi na kufunika kwa Spidi ndani ya Sekunde 1 anakuwa kashamaliza sasa Genz huwa wanamfuatilia sana wakiwa wanajaribu kuscreenshot na kuzoom ili waangalie.
Sasa huyu jamaa ndio amemuona huyo dada akajua ni Mtanzania.
Thanks for the clarification, kumbe utoto tu kwa ajili ya teens.
 
Kuna maza anasema mwanamke ni sawa na kikaratasi cha majani ya chai, ila mimi nasema mwanamke hana tofauti na kuku wa kienyeji tenaa yule tetea ukimchunguza sana utaelewa nazungumzia nini, sometimes kuku hajui anachotaka unaweza ukamwekea chakula kwenye sahani safi kwenye ardhi ale hapo amalize ila utashangaa yeye utamu hauji mpaka aiparueparue hio sahani na amwagemwage ulichomwekea na kukila chini huyo ndio mwanamke, ngoja naona zile bia za jana zimenipa hangover kali sana leo sijui km nitaamka usiku wa leo.
🙏
 
Mabwakuuu!!!
Haswaaa mabwakuuu, huyu mleta uzi anataka attention tu 😂😂😂
Anavyojizungusha utadhani ana kitu cha maana kumbe yeye kazi yake kuwatajia tu jina basi halafu anaenda kutubu huko 😂😂😂
 
Back
Top Bottom