Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

Lile kalio JAMAA limemchanganya labda
Tuliokwishapita na midubwasha km hio tunaonaga hakuna maajabu ni watangazaji wa mavazi tu akivua kwisha habari yake usione manguo nguo yamemuwamba wamba nguo check Vera Sidika alivyoenda kuondoa yale maputo alivyokua, kwa hio usipagawe kijana mjini shule na hakunaga cheti cha kuhitimu
 
Yaan unataka kusemaje yaan hujamalizia sentence emu malizia nikusikie
 
KWELI man ila kwa bahati mbaya mi SIO MDAU WA hayo madude
 
Ila algorithm zinakuja kila ukiingia IG n watasha unawatazama Hahaha, ngoja niishie hapo
Hivi una AMINI MI naweza KAA MWAKA MZIMA BILA KUFANYA ngono MKUU, na HUU utu uzima, ni MTU TU ukijiwekea MAISHA FULANI unaishi humo
 
HUWEZI tumwa masikini ukapeleka hao, hao WOTE WANA mafao ya kustaafu UNGE SEMA LABDA mama yake ni mama WA nyumbani, na baba yake mkulima HAPO SAWA NINGE KUELEWA mkuu
Hahaha oya kwa hio mafao ndio utajiri, emu acheni ujinga wenu huko kwa hio mnavyofundishwa kwamba kua na mafao ndio mtu kua na maisha mazuri, nani aliekufundisha hivyo?
 
La hasha SINA MANA , ni matajiri, ila SIO masikini kama we unavo aminisha
Nimekwambia ametokea familia masikini ni lower class hayupo kwenye middle class wala upper class, hivi tunaelewana vizuri hapa lakini au kuna shida ya kuelewa? Huko bongo mnawaita wa kipato cha chini
 
Nimekwambia ametokea familia masikini ni lower class hayupo kwenye middle class wala upper class, hivi tunaelewana vizuri hapa lakini au kuna shida ya kuelewa? Huko bongo mnawaita wa kipato cha chini
MKUU bongo ukisema masikini, INAMANA walal hoi mtoto WA MTUMISHI WA umma HUWEZI muita maskini
 
Wafundishe watoto kuwa na self-discipline, kuwabana si suluhusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…