BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
- Thread starter
-
- #281
HAPO MKUU umenena vWafundishe watoto kuwa na self-discipline, kuwabana si suluhusho.
Utanielewa taratibu, HAMNA masikini WA HIVO, HATA SASA HUYO DEMU SI masikini kihivo anamiliki ndinga unasemaje HUYO maskiniCivil Servant ni nani kwani? Wewe unaishi bongo ipi kijana mboni km unajikanyaga sana hueleweki
HIYO NYETO TUMEPIGA WOTE MBONA MNAPAKAZIA WATU MANENO HOVYO? NYIE NDO MKIFUNGULIWA KESI, MNAANZA KUTIA HURUMADuuuh hii Noma sana anapiga nyeto mwezi mtukufu wa ramadhan Noma kinoma
Hahaha tayarir nilijua tu kwa hio ndinga ndiio maisha mazuri? Oya ndinga hata wewe unaweza ukapoga nayo picha haukatazwi hio mboni ni issue ndogo sana, sikujua km utaelekea huko na apart from that huyo ni Chifu Godlove wa kike ushaelewa?Utanielewa taratibu, HAMNA masikini WA HIVO, HATA SASA HUYO DEMU SI masikini kihivo anamiliki ndinga unasemaje HUYO maskini
Tulia wewe sasa unapiga kelele za nini kaushaHIYO NYETO TUMEPIGA WOTE MBONA MNAPAKAZIA WATU MANENO HOVYO? NYIE NDO MKIFUNGULIWA KESI, MNAANZA KUTIA HURUMA
Aisee, kumbe ni halali kwako kutenda dhambi, mwezi Ramadhan ukipita?Kuwa na SUBRA MWEZI RAMADHAN upite, KWA Sasa SIO busara kaka tafadhali🙏🙏
Mtoto wa kike 16yrs na mtoto wa kiume 16yrs ni tofauti sana, watoto wote wanapaswa kupewa elimu Rika, kwaajili ya kuwajenga kisaikolojia. Inapofika stage unampa uhuru wa kumiliki smartphone unakuwa umejihakikishia kwamba madhara hayatakuwa makubwa sana.Mimi mtoto akishafikisha 16yrs namnumulia smartphone yake, below that age waendelee kundandia za mama ya japo laptop na iPad wanatumia hata wadogo na hapo kikubwa ni guidance ya wazazi.
Dawa ni za kulevya uchi haulevyiBasi dawa za KULEVYA SI za SERIKALI NENDA kazitumie hadharani
Subiria huo utamaduni wa kiafrika.SIO utamaduni WA muafrika huo aende ulaya
Sii ruksa lakini kajidhalilisha yeye mwenyewe na sio wanawake wote. Uchi ni wake.Aha kumbe SIKU HIZI NYIE kupanua uchi ni ruksa, basi NISAMEHE sikujua
Mnalilia uhuru wahabari, tukiwapa mnaukataa.DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa
Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee
INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
mtoto mdogo anapataje access ya mitandao? au ndio hao watoto Mnao wafuga badala ya kuwalea huko masaki na kwinginepo?SAWA LAKINI kila NCHI Ina Sheria zake SABABU ya kuwalinda WATOTO WADOGO ambao BADO HAWAJA komaa kifikra kaka