Hii kweli Much knowKwani yeye huwa na huruma anapovamia nyumba za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kweli Much knowKwani yeye huwa na huruma anapovamia nyumba za watu
Walipomsingizia Mbowe makosa makubwa ya Ugaidi huku wakijua kabisa sio kweli inasikitisha sanaSwali, baada ya kipigo hizo bunduki walizipata au wamewaua kufuta ushahidi.
Polisi wa Tanzania hawajui kupeleleza, WATAKUPA KIPIGO HADI UKIRI KOSA HATA KAMA HUJAFANYA.
division four na zero!
As long as they assist leaders to achieve in power no problemLicensed to kill,
Mimi nasema tena kuwa Mama Samia ni Kiongozi mzuri sana lakini kiatu cha Urais kimempwaya sana mambo yanayoendelea Sasa hivi yanataka mtu mwenye nguvu ambaye akikemea anasikilizwa kweli hii Mama hana Tanzania upole ni shida kubwa ona Sasa raia wanauwawa na Polisi kwa kasi ya kutisha sana Mungu tunusuru waja wako.Swali, baada ya kipigo hizo bunduki walizipata au wamewaua kufuta ushahidi.
Polisi wa Tanzania hawajui kupeleleza, WATAKUPA KIPIGO HADI UKIRI KOSA HATA KAMA HUJAFANYA.
division four na zero!