Mimi nasema tena kuwa Mama Samia ni Kiongozi mzuri sana lakini kiatu cha Urais kimempwaya sana mambo yanayoendelea Sasa hivi yanataka mtu mwenye nguvu ambaye akikemea anasikilizwa kweli hii Mama hana Tanzania upole ni shida kubwa ona Sasa raia wanauwawa na Polisi kwa kasi ya kutisha sana Mungu tunusuru waja wako.