Binti aua mwanaye kwa kumtumbukiza kwenye ndoo ya maji

Binti aua mwanaye kwa kumtumbukiza kwenye ndoo ya maji

Hii nchi inasapoti uzazi wa mpango lakini elimu yake na upatikanaji ni changamoto mno.

Abortion ni sehemu ya uzazi wa mpango. Kataa kubali. Options zinaanzia kwenye kalenda, withdrawal, kondom, P2 kote huko ukifeli ndiyo inakuja abortion.

Lakini kwakua nchi yetu watakatifu ni wengi abortion ni kosa, hivyo inafanywa kwa kificho, mazingira hatarishi na gharama za juu.

Elimu ingekua wazi zaidi ya ilivyo sasa
 
Watu wanasema babu wa marehemu naye afungwe kwa lipi? Mi mzee alikuwa akituambia kabisa kuwa ye anatulea sisi na hawezi lea mtoto mwingine tena. Hivyo cheza ujinga wako wote ila ukipata mtoto we nimzazi hivyo kalee mbele ya safari. Haya mambo tunayalea ndo chanzo cha kuletewa wajukuu bila ndoa kila mara. Kama mzee ukikubari binti yako mkubwa akuletee wajukuu kabla ya ndoa basi tegemea mabinti zako wote kupita hiyo njia. Mzee hakumkaribisha binti bila mtoto ila alitumia hiyo lugha kama kumwambia binti kuwa kwa ulichokifanya kwangu usikanyage. Hata kama binti angetelekeza mtoto sehemu salama bado huyo mzee asingempokea binti yake
 
Back
Top Bottom