Tena wale wakina mother house wanaojifanya wakali kuwafokea beki 3 na hata kumpiga vibao.Mwanae tu kamuua, ndio anakuja kuwa housegirl unamwachia watoto halafu wamzingue.....🙄
Apo chacha.....anakutayarishia sababu tu ziso kichwa wala miguuMwanae tu kamuua, ndio anakuja kuwa housegirl unamwachia watoto halafu wamzingue.....🙄
Background hufichwa na kuvaa utakatifuMwanae tu kamuua, ndio anakuja kuwa housegirl unamwachia watoto halafu wamzingue.....[emoji849]
Dar mpaka Iringa?So sad.
Babu mtu akamatwe ili ahojiwe vizuri.
Ikibainika alihusika kwa namna ya kipekee (moja au nyingine) sheria ichukue mkondo.