Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Na kuoa mwanamke wa miaka 30 pia inahitaji moyo mgumu wengi ni ex soldiers au veterans wa second World War.
Na kuoa mwanamke wa miaka 30 pia inahitaji moyo mgumu wengi ni ex soldiers au veterans wa second World War.
Sawa wajiandae kuwa masingle Maza huko mbeleni baada ya kumaliza Ku explore the words Kama Christopher ColumbusMabinti zetu kama unataka kuexplore dunia just do it, maliza masomo yako, tembelea Dunia, furahia ujana wako, jitolee kwenye jamii, muda ukifika ukiona sasa umekomaa kiakili na kimwili kubeba majukumu ya ndoa then do it, yaan binti wa miaka 19 ukampe majukumu ya kulea libaba lenye sharubu zake, bado gubu la mawifi na wakwe, hell no,
Ngozi nyeusi zindukeni maisha hayaishii kwenye ndoa, hao ngozi nyeupe wangekua wanawaza kuozeshana wakiwa wadogo sidhani kama Dunia ingekua hivi ilivyo.
Kwani single mother ni kilema? na hujui kama kwenye single mother kuna single father pia? akili za mtu mweusi zinawaza ngono tu, badilikeni tupo karne ya 21 hii tunaitafuta ya 22.Sawa wajiandae kuwa masingle Maza huko mbeleni baada ya kumaliza Ku explore the words Kama Christopher Columbus
Single mother au single faza unatokana na kuzaa kabla ya kuolewa ni kilema na ni tatizo. No vile tuu tunaiga uzungu na upuuzi WA wazungu kuona ni kawaida.Kwani single mother ni kilema? na hujui kama kwenye single mother kuna single father pia? akili za mtu mweusi zinawaza ngono tu, badilikeni tupo karne ya 21 hii tunaitafuta ya 22.
😁😁😁Sawa wajiandae kuwa masingle Maza huko mbeleni baada ya kumaliza Ku explore the words Kama Christopher Columbus
Kuolewa mdogo akili inakua haijakomaa, wengi hawajui wanataka Nini kwenye maisha . Umri mdogo unachangia pia ndoa kuvunjika mapema , ingawa Kuna wenye umri mdogo na akili zilizokomaa sikatai ilo !Sawa wajiandae kuwa masingle Maza huko mbeleni baada ya kumaliza Ku explore the words Kama Christopher Columbus
Mnatamka maneno makali ila ndio uhalisia wenyewe wakuu.Age. Ni 19 to 23 unless unataka Kuoa kahaba aliyedanga kila mahali
Kwani single mother ni kilema? na hujui kama kwenye single mother kuna single father pia? akili za mtu mweusi zinawaza ngono tu, badilikeni tupo karne ya 21 hii tunaitafuta ya 22.
Kuolewa mdogo akili inakua haijakomaa, wengi hawajui wanataka Nini kwenye maisha . Umri mdogo unachangia pia ndoa kuvunjika mapema , ingawa Kuna wenye umri mdogo na akili zilizokomaa sikatai ilo !