Binti, kama unampango wa kuolewa usichelewe kuolewa. Umri sahihi 20 - 30

Binti, kama unampango wa kuolewa usichelewe kuolewa. Umri sahihi 20 - 30

Mabinti zetu kama unataka kuexplore dunia just do it, maliza masomo yako, tembelea Dunia, furahia ujana wako, jitolee kwenye jamii, muda ukifika ukiona sasa umekomaa kiakili na kimwili kubeba majukumu ya ndoa then do it, yaan binti wa miaka 19 ukampe majukumu ya kulea libaba lenye sharubu zake, bado gubu la mawifi na wakwe, hell no,

Ngozi nyeusi zindukeni maisha hayaishii kwenye ndoa, hao ngozi nyeupe wangekua wanawaza kuozeshana wakiwa wadogo sidhani kama Dunia ingekua hivi ilivyo.
 
Na kuoa mwanamke wa miaka 30 pia inahitaji moyo mgumu wengi ni ex soldiers au veterans wa second World War.
Mabinti zetu kama unataka kuexplore dunia just do it, maliza masomo yako, tembelea Dunia, furahia ujana wako, jitolee kwenye jamii, muda ukifika ukiona sasa umekomaa kiakili na kimwili kubeba majukumu ya ndoa then do it, yaan binti wa miaka 19 ukampe majukumu ya kulea libaba lenye sharubu zake, bado gubu la mawifi na wakwe, hell no,

Ngozi nyeusi zindukeni maisha hayaishii kwenye ndoa, hao ngozi nyeupe wangekua wanawaza kuozeshana wakiwa wadogo sidhani kama Dunia ingekua hivi ilivyo.
Sawa wajiandae kuwa masingle Maza huko mbeleni baada ya kumaliza Ku explore the words Kama Christopher Columbus
 
Sawa wajiandae kuwa masingle Maza huko mbeleni baada ya kumaliza Ku explore the words Kama Christopher Columbus
Kwani single mother ni kilema? na hujui kama kwenye single mother kuna single father pia? akili za mtu mweusi zinawaza ngono tu, badilikeni tupo karne ya 21 hii tunaitafuta ya 22.
 
Kwani single mother ni kilema? na hujui kama kwenye single mother kuna single father pia? akili za mtu mweusi zinawaza ngono tu, badilikeni tupo karne ya 21 hii tunaitafuta ya 22.
Single mother au single faza unatokana na kuzaa kabla ya kuolewa ni kilema na ni tatizo. No vile tuu tunaiga uzungu na upuuzi WA wazungu kuona ni kawaida.
 
Sawa wajiandae kuwa masingle Maza huko mbeleni baada ya kumaliza Ku explore the words Kama Christopher Columbus
Kuolewa mdogo akili inakua haijakomaa, wengi hawajui wanataka Nini kwenye maisha . Umri mdogo unachangia pia ndoa kuvunjika mapema , ingawa Kuna wenye umri mdogo na akili zilizokomaa sikatai ilo !
 
Kwa mtazamo wangu kwa upande wa mwanamke endapo mwanamke ampitapita shule basi umri sahihi wakuolewa usizidi miaka 30 . Kwahiyo unaweza ukakamilisha jambo hilo btn 23 or 25 up to 30. Kusema kukamilisha simaanishi utoke utafute wanaume hapana ila ujijitahidi kujiweka kiheshima nivizuri maana sisi wanaume tunajua hapa ni sehemu sahihi au hapa ni bora liende ntatafuta mwingine ....kwahiyo mwanamke ukiwa na tibia nzuri.kauli nzuri . heshima basi mapema sana utapata mume.

Na ukitakata usipate mwanaume ambae ni mume basi onyesha dharau kwa mwanaume maana hakuna mwanaume anapenda dharau hasa kutoka kwa mtoto wakike haijalishi kipato chake ila kitu dharau kwa mwanaume hapana ni vyema kutafuta njia yahekima kumfikishia ujumbe wako amba ktk jambo lolote lile.....

Lkn kwa upande wa mwanaume kwa ndoa ya kwanza kama Muslim nahata mkristo (ndoa ni muja ) basi usizidi miaka 35 ....

Hapo Kuna vingi maana mwanaume atamaliza masomo then aanze kujitafuta kimaisha otherwise una connections.

NB.. lkn pia mwanamke Ana limit ya uzazi ...menopause inaanza 45 yrs hivyo kuingia kwenye ndoa mapema nivizuri na wanaume wengi Wana avoid wanawake wenye 30+ kwasababu hii na pia kama ilivyo mwanamke anawahi sana kukua sasa katika umri huu nitatizo......

Kingine wanawake msipende sana kupumbazwa na ulimwengu kama mambo ya haki Sawa kwa wote hii kitu wanawake wengi wanaitumia vibaya ndo dharau majumbani ,mitaani na jamii zinaanzia hapa ....huwezi kuwa Sawa na mwanaume .
 
Kwani single mother ni kilema? na hujui kama kwenye single mother kuna single father pia? akili za mtu mweusi zinawaza ngono tu, badilikeni tupo karne ya 21 hii tunaitafuta ya 22.

Hakuna binadamu au Jamii ya binadamu isiyowaza ngono.
Ngono ni basic need ya mwanadamu mwenye afya kamili.

Kuhusu single mother ni mjadala upo Mpaka ulimwengu wa Kwanza. Hivyo wewe ndio unaakili mgando kwa kudhani kuwa mtu mweusi ndio unakuwa na Mawazo haya.

Hii inaonyesha huna exposure ya dunia. Na hujawahi kuishi na jamii zingine Nje ya waafrika
 
Kuolewa mdogo akili inakua haijakomaa, wengi hawajui wanataka Nini kwenye maisha . Umri mdogo unachangia pia ndoa kuvunjika mapema , ingawa Kuna wenye umri mdogo na akili zilizokomaa sikatai ilo !

Kwa mwanamke Miaka 20 ni mtu mzima kabisa
Akifika 30 ni zaidi ya Mtu mzima
 
Back
Top Bottom