Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,522
- 1,757
Mkuu,Hii ni ishu!
Jinsi Wahindi wa A-Z walivyo na nguvu Arusha hii nina wasiwasi kama haki itatendeka!
Ngoja tuweke kambi maeneo!
Asikudanganye mtu HAKUNA MUHINDI MWENYE NGUVU HAPA TANZANIA....Hawajaingia kwenye 18 ya vyombo husika. Upelelezi utafanyika na Kama wakikutwa na hatia watashughulikiwa kutokana na sheria za nchi.