Binti kutoa uchafu uken wakati wa tendo la ndoa

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
Habar wana Jamvi

Ni swali moja kwa kina dada, ni kwamba hii ni mara ya pili kukutana na kitu kama hiki.
Mara ya kwanza ilikuwa kwa ma x-girl frnd wangu. Huyu X wangu alikuwa anaishi Mkoan kwetu kanda ya ziwa! Kuna mda alikuja hapa dsm kunisalimia kwan alikuwa amenims saana! Katika kufanya tendo la ndoa kuna uchafu flan hivi ulitoka kwa kisukuma maarufu kama "UTOKO", unakuwa kama mweupe hiv, mzito na vipande kama punje ya wali uliopikwa, nikamuuliza akadai hajafanya mapnz kwa mda mrefu ndio maana uchafu kama huo una toka,
Sasa juz kat hapa nimekutana na kingen tena cha mdada flan hv kunipa, daaah nilitaman kuishia njian manake uchafu aliotoa, vile vipunje kama vya wali hv vingii saaana, kila nikisukuma kiukweli nilikosa hamu ya kuendelea hata sina hamu ya kumuita tena!

SASA SWALI LANGU! Hiv ni kweli hiki kinasababishwa na mschana kutokufanya tendo hili kwa mda mrefu au ni Uchafu wake wa Asili!

Nawasilisha! Lady doctr, smile na wengn wengi nipen jibu!
 
Mwili unasisimka,dah,ngumu kumeza,mimi nisingeendelea,una moyo sana.
Wewe hata kujitoa mhanga unaweza.
HAYO MAELEZO TU YAMENITIA KINYAA NA KUNIFANYA MWILI WOTE USISIMKE.
 
Hao wasichana hawajui kujisafisha ndani.
 

"UTOKO" ni kitu cha kawaida tu, ndugu, kutoka huko dudushe lilikotembelea. Kwa kweli ni sawa na mate kinywani mwako. Unashangaa kinywa kinapotoa/kinapokuwa na mate?

Kama UTO... umetoka mwingi, kusanya na tumia kama "Tanbond" kwa mkate au kula kama ice cream. Unaweza fanya hivyo kama UTO..O huo hautoi harufu mbaya. Kama unanuka kama jalalani basi ujue mwanadada amepata maambukizo katika hiyo sehemu nyeti. Umweleze aende kumuona daktari.

Kama "ki-kiranga" kimo kichwani tembelea hapa. link Vaginal Discharge - Knowing the difference between normal discharge and infections - McKinley Health Center - University of Illinois
 
Acha machafumachafu mzee... Hata hivyo una moyo mi ningewatoa nduki.
 
haukuna cha umalaya wala nn. Ni aina ya fungas inawasumbua wengi tu. Huyo alekwambia hajfanya siku nyingi hajajua tatizo lake. Kweli ukioa utajua ila si kila mwanamke husumbuliwa na ugonjwa huu. Kwa taarifa yako mwanamke huwashwa sana anapoanzwa na ugonjwa huu na unapomfanya huchubuka sana na hata kupata maumivu huwa hapendi kurudia baada ya kufanya kwa muda kidogo. Kuna vidonge hutumia vya kuingizwa ukeni na huisha baada ya siku tatu mpaka tano. Baada ya hapo hata chumvi waweza kuionja. ciao
 
Dah! hata chai nimehairisha kunywa, asubuhi njema bhana
 
Utoko ni kitu cha kawaida ila hauna harufu. ukisikia harufu kuna tatizo. Jifunze kuosha bibi vizuri mpaka ndani
 
Ukiwa mtoto tabu inakuja kwenye mambo kama haya,ngumu sana kuelewa ila unajifunza fasta...
KUMBE UTOKO!!!!
"Nlikuwepo"
 
Thats called UTI seek professional help. Nahisi na wewe kama ulikula kavu basi jua umeipata na kwa wanaume huwala taratiiibu. Usimuache huyo wa/dada bila kuwaambia waende hospital
 
Ute ni kawaida kwa mwanamke lakini haupaswi kua na harufu,na huyo unasema vinatoka km vipunje huyo hajui namna ya kujiswafi huko kwa bibi.
 
Thats called UTI seek professional help. Nahisi na wewe kama ulikula kavu basi jua umeipata na kwa wanaume huwala taratiiibu. Usimuache huyo wa/dada bila kuwaambia waende hospital
Kalimati umeongea vyema..
Juzi kati hubby alienda hospital moja iv hapa mjini akawa anaongea na daktar,daktar akamwambia hata siku moja mwanaume hawez kuambukizwa UTI na mwanamke maana tundu la mkojo ni tofauti na ile sehem kwa ajili ya tendo la ndoa,kwahyo UTI haiambukiz bali mwanamke akishambuliwa na fungus ndo huspread mpaka ktk sehemu dushe linapaswa kupita ndo hapo mwanaume hupata UTI.
Ivo ukiona mwanaume una UTI mshaur mkeo akachek fungus...na wadada weng tunasumbuliwa na hii ktu
 
Kwa hiyo UTI inasababishwa na fungus?
Kweli mjini shule. Ila kaangale tena facts zako na hubby aisee, huyo dr nna mashaka nae.
 
That's NORMAL,kama unaona vinakukera achana na tabia ya kuangalia huko,bado watoto wadogo mnajiingiza kwenye zinaa halafu mnafikiri kila kitu ni cha kuanika humu JF,owa mkeo halafu ukiuona huo U...... ndio utuulize tutakusimulia hicho ulichokiona ni nini,uzuri na ubaya wa kutokuwepo kwake:target:.
 
Reactions: Luv
Hii kitu imeongelewa mara kibao,anayeweza kuweka link atakua amekusaidia


Utoko ni discharge ya kawaida sana,hata usipoona wakati wa tendo lazima ukute ute huo mzito kwenye kyupi

Kiafya hauna madhara kama
Kama kuna harufu,ute huo una rangi kama njano or brown basi lazima kuna maambukizi.

Ute huo kuwa mwingi au kidogo hutofautiana mwanamke na mwanamke kwasababu za kimaumbile



NOTE: Kizaz hujiswafi chenyewe ndo mana kuna ute kama huo na si vyema kujisafisha tupu(kwa mwanamke) kwa kujiingiza kidole kwenye tupu kwani husababisha maambukiz.

Cha msingi selfu hygene izingatiwe
 

You spoke well.
Wanawake wengine wanaambiwa wajiswafi kwa sabuni mbalimbali, wanaweka vitu vya ajabu ukeni wakidanganywa kwamba itakua tight kitu ambacho hakipo madhara yake ni magonjwa kama hayo ya UTI. Uke wa mwanamke ni kama mpira unaotanuka naa kujirudi kwenye hali yake ya kawaida pindi kitu kilichokitanua kuondoshwa.
Wanawake wasipotoshwe hizo sabuni na vingine ni biashara tu.
Wakaka nao ni jukumu lao kuwaeleza wapenzi wao ukweli kuhusu usafi bila kujali atajisikia vipi kwani ni tiba yenu wote na huepusha mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…