Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Habar wana Jamvi
Ni swali moja kwa kina dada, ni kwamba hii ni mara ya pili kukutana na kitu kama hiki.
Mara ya kwanza ilikuwa kwa ma x-girl frnd wangu. Huyu X wangu alikuwa anaishi Mkoan kwetu kanda ya ziwa! Kuna mda alikuja hapa dsm kunisalimia kwan alikuwa amenims saana! Katika kufanya tendo la ndoa kuna uchafu flan hivi ulitoka kwa kisukuma maarufu kama "UTOKO", unakuwa kama mweupe hiv, mzito na vipande kama punje ya wali uliopikwa, nikamuuliza akadai hajafanya mapnz kwa mda mrefu ndio maana uchafu kama huo una toka,
Sasa juz kat hapa nimekutana na kingen tena cha mdada flan hv kunipa, daaah nilitaman kuishia njian manake uchafu aliotoa, vile vipunje kama vya wali hv vingii saaana, kila nikisukuma kiukweli nilikosa hamu ya kuendelea hata sina hamu ya kumuita tena!
SASA SWALI LANGU! Hiv ni kweli hiki kinasababishwa na mschana kutokufanya tendo hili kwa mda mrefu au ni Uchafu wake wa Asili!
Nawasilisha! Lady doctr, smile na wengn wengi nipen jibu!