Binti kutoa uchafu uken wakati wa tendo la ndoa

Binti kutoa uchafu uken wakati wa tendo la ndoa

Hii kitu imeongelewa mara kibao,anayeweza kuweka link atakua amekusaidia

Utoko ni discharge ya kawaida sana,hata usipoona wakati wa tendo lazima ukute ute huo mzito kwenye kyupi

Kiafya hauna madhara kama
Kama kuna harufu,ute huo una rangi kama njano or brown basi lazima kuna maambukizi.

Ute huo kuwa mwingi au kidogo hutofautiana mwanamke na mwanamke kwasababu za kimaumbile

NOTE: Kizaz hujiswafi chenyewe ndo mana kuna ute kama huo na si vyema kujisafisha tupu(kwa mwanamke) kwa kujiingiza kidole kwenye tupu kwani husababisha maambukiz.

Cha msingi selfu hygene izingatiwe
JF Uwanja mpana...somo kama hili FB hulipati ng`o....
 
UTI ni urinary track infection, ambayo ni lazma iwe bacteria manake fungus hazikai kwenye njia ya mkojo.
fungus zinakaa ukeni. ndio maana nikkuambia huyo daktari labda hamkumuelewa lakini pia si wa kutegemea.
umesema vyema huyajui haya. hata mie siyajui najifunza kila siku. ila zingatia, huyo dr huyooo:shut-mouth:
aisee kweli nami nimeanza kushtuka
 
Utoto unakusumbua na biology imepita pembeni. mwanamke anapokaribia kuingia kwenye siku zake kabla ya wk wengne siku 3 huwa na mabadiliko ya kimwili na hilo likiwemo na tofauti ni pale wengine kuzidiana kutokana na maumbile na badaye huisha na huanza cku zake mpka mzunguko mwngne tn,ila ukitoa harufu mbaya ndo maradhi aende hospital. Na ukiona huo ute ni mweupe lkn si mweupe unapoishia kwenye chupi ndo utaona rangi yake dhahiri huwa wa njano njano. Umenipata mkaka
 
Hii kitu imeongelewa mara kibao,anayeweza kuweka link atakua amekusaidia

Utoko ni discharge ya kawaida sana,hata usipoona wakati wa tendo lazima ukute ute huo mzito kwenye kyupi

Kiafya hauna madhara kama
Kama kuna harufu,ute huo una rangi kama njano or brown basi lazima kuna maambukizi.

Ute huo kuwa mwingi au kidogo hutofautiana mwanamke na mwanamke kwasababu za kimaumbile

NOTE: Kizaz hujiswafi chenyewe ndo mana kuna ute kama huo na si vyema kujisafisha tupu(kwa mwanamke) kwa kujiingiza kidole kwenye tupu kwani husababisha maambukiz.

Cha msingi selfu hygene izingatiwe

Well explained... welldone mkuu.
 
Back
Top Bottom