huwa sifuatilii hayo mashindano ya umiss, hivi mwaka 2012 yalikuwepo???? i know nothing about misiii
Ha ha ha.. Yaani Mkuu Tanzania nadhani tunaongoza kwa mashindano yasio kuwa na tija kwa jamii.. Huyo mshindi wa BSS atachukua Milion yake hamsini atafanyia mambo yake na wala hutamcikia kwenye anga za muziki.. kama vile wale mamiss wetu wanavyoshinda na kwenda "kushindwana" huko duniani..! Kila sekta imeathiriwa..
mimi sio mdau wa haya mambo but huyu dogo kanivutia kwa kweki ana kipaji natural, ni mkali jamani sema ndo hivo wabongo hatupo fair ,yule wababa wanamfagilia sijui ana nini,sijui ana tunguri yule,au vile kasuka? anyway tuyaache hayo
tusahau ya uamsho ,sisi sote ni ndugu
tumpeni kura jamani
piga kura yako
ebs 09 kwenda 15530
Ka kuku mtetea kanafaa kwa mchuzi........... Duh, sijui ni kwa nini nilikimbilia kuwowa mapema.........LOL
amenizidi kwa kipaji cha kuimba ila kwa malavidavi hanifikii please vote for her!
Wenyewe majaji walishakaririwa wakisema kuwa hawatafuti wapiga vyombo vya Muziki...Bali wanatafuta waimbaji.
So kwa kauli hiyo ni wazi kuwa huyo binti ashachambia ganda la fenesi.
Wenyewe majaji walishakaririwa wakisema kuwa hawatafuti wapiga vyombo vya Muziki...Bali wanatafuta waimbaji.
So kwa kauli hiyo ni wazi kuwa huyo binti ashachambia ganda la fenesi.
yah!kumbe nimechukuwa kifaa ee! tika mwaka juzi ila mpaka sasa kinaonekana kipyaaaaa!
nakitumia lakini taratibu na kitaalam.wazungu wanasema ku "utilize" na si ku "consume" sasa kama watu wanafanya hii ya pili wajue hawafui dafu kwangutoka mwka juzi halafu bado hivi! Basi wewe huwezi kutumia
dah!!BABA le BABA wezako ma sister dread ndo wanatuchanganya....nawapenda ajabuMwanamke anayesuka "dread" huwaga "simfagilii" hata kidogo...!