Binti mashalah, anayepinga akaapeal kwa MUNGU!

Binti mashalah, anayepinga akaapeal kwa MUNGU!

huwa sifuatilii hayo mashindano ya umiss, hivi mwaka 2012 yalikuwepo???? i know nothing about misiii

Ha ha ha.. Yaani Mkuu Tanzania nadhani tunaongoza kwa mashindano yasio kuwa na tija kwa jamii.. Huyo mshindi wa BSS atachukua Milion yake hamsini atafanyia mambo yake na wala hutamcikia kwenye anga za muziki.. kama vile wale mamiss wetu wanavyoshinda na kwenda "kushindwana" huko duniani..! Kila sekta imeathiriwa..
 
Nasikia kuna lingine linaitwa big braza africa, hili zaidi ya kufundisha vijana umalaya na ukahaba hakuna jingine
Ha ha ha.. Yaani Mkuu Tanzania nadhani tunaongoza kwa mashindano yasio kuwa na tija kwa jamii.. Huyo mshindi wa BSS atachukua Milion yake hamsini atafanyia mambo yake na wala hutamcikia kwenye anga za muziki.. kama vile wale mamiss wetu wanavyoshinda na kwenda "kushindwana" huko duniani..! Kila sekta imeathiriwa..
 
431592_445117582201897_223646614_n.jpg

mimi sio mdau wa haya mambo but huyu dogo kanivutia kwa kweki ana kipaji natural, ni mkali jamani sema ndo hivo wabongo hatupo fair ,yule wababa wanamfagilia sijui ana nini,sijui ana tunguri yule,au vile kasuka? anyway tuyaache hayo

tusahau ya uamsho ,sisi sote ni ndugu
tumpeni kura jamani
piga kura yako
ebs 09 kwenda 15530

Ka kuku mtetea kanafaa kwa mchuzi........... Duh, sijui ni kwa nini nilikimbilia kuwowa mapema.........LOL
 
Inasemekana tangu BSS imeanza hakuna wa kiwango chake!
 
salma
ni
mkali,but
walter
ni
mkali
zaidi.
 
amenizidi kwa kipaji cha kuimba ila kwa malavidavi hanifikii please vote for her!

nishampigia kura moja kwasababu umemweka pasport size ukimalizia picha ya chini napiga kura ya 2 akiwa namba 8 napiga nyingine 5

weka na wewe yako basi tukupigie...
 
We smile huyu ndugu yako nin!,walter ndo mkareeeeeeee....., kama bushoke vile..
 
Kweli sasa hili jambo la haki sawa ninapamba moto. Simnaona mademu wanavyo kuja kwa kasi katika kazi za kiume.

Sikuhizi kila secta lazima utakutana na demu nae anapiga mzigo, tofauti na enzi zetu sisi mambo hayakuwa kama ilivyo sasa, hii ndio inafanya wanaume wengi kutoheshimika manyumbani mwao.

Kuna minjemba mingi tu inapelekeshwa na mademu zao na wengine wanapigwa makonde .
 
salma
ni
mkali,but
walter
ni
mkali
zaidi.

lis kweli walter ni mkali saaana ila naungana na Smile kwa asilimia 100 sababu ni moja kubwa, huyu binti ana piga vyombo vya mziki pia
tusionngee tu tumpigie kura jamen
 
lis kweli walter ni mkali saaana ila naungana na Smile kwa asilimia 100 sababu ni moja kubwa, huyu binti ana piga vyombo vya mziki pia
tusionngee tu tumpigie kura jamen

Wenyewe majaji walishakaririwa wakisema kuwa hawatafuti wapiga vyombo vya Muziki...Bali wanatafuta waimbaji.

So kwa kauli hiyo ni wazi kuwa huyo binti ashachambia ganda la fenesi.
 
Wenyewe majaji walishakaririwa wakisema kuwa hawatafuti wapiga vyombo vya Muziki...Bali wanatafuta waimbaji.

So kwa kauli hiyo ni wazi kuwa huyo binti ashachambia ganda la fenesi.

exactly.
 
Wenyewe majaji walishakaririwa wakisema kuwa hawatafuti wapiga vyombo vya Muziki...Bali wanatafuta waimbaji.

So kwa kauli hiyo ni wazi kuwa huyo binti ashachambia ganda la fenesi.

okk
nilifikiri hizo zote ni sifa za mwanamuziki bora
 
toka mwka juzi halafu bado hivi! Basi wewe huwezi kutumia
nakitumia lakini taratibu na kitaalam.wazungu wanasema ku "utilize" na si ku "consume" sasa kama watu wanafanya hii ya pili wajue hawafui dafu kwangu
 
Uamsho wakimuona watamwita kafir kwa jisni anavyovaa na kupiga gitaa akiwa jukwaani. Nampenda ana kipaji anawakilisha tanzania tunayoitamani isyo na ubaguzi wa kidini. Kila mtu anapata fursa ya kuonyesha kipaji chake kwenye tasnia yote ya michezo.
 
Back
Top Bottom