sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
huwa sifuatilii hayo mashindano ya umiss, hivi mwaka 2012 yalikuwepo???? i know nothing about misiii
Ha ha ha.. Yaani Mkuu Tanzania nadhani tunaongoza kwa mashindano yasio kuwa na tija kwa jamii.. Huyo mshindi wa BSS atachukua Milion yake hamsini atafanyia mambo yake na wala hutamcikia kwenye anga za muziki.. kama vile wale mamiss wetu wanavyoshinda na kwenda "kushindwana" huko duniani..! Kila sekta imeathiriwa..