Kuna mmoja yule kipindi cha Jiwe alicheza sarakasi.Itapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni š¤£.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja yule kipindi cha Jiwe alicheza sarakasi.Itapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni š¤£.
Na cha kuchekesha bado Muswada ulisomwa kwa mara ya kwanza.Watanzania tumevuka level ya ukabila na umaeneo
Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.
Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa āKa Mateā huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.
Wamaori wenzie ndani ya bunge nao walimuunga mkono kwa kuanza kuimba na kucheza Haka.
Wow! Ni binti wa 2002.