Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Wanalizagwa vibaya hawaSawa Ngugi wa Thiong'o
Atashtuka kachelewa sanaWanalizagwa vibaya hawa
Nyamaza mkuu, ndio ukubwa huoSana mkuu nimesikitika
View attachment 3635776
.............. ndio waliwaoSikuwajua huyu ni member wa JF hadi jana kanitumia picha PM na kumuona liveView attachment 3635777View attachment 3635778
Wajinga eeh ?.............. ndio waliwao
Mkuu Msinishauri MtanichanganyaWanalizagwa vibaya hawa
Kipindi Hayajanifika Nilimuona Ngoswe Ni Mjinga Sana Ila Kwasasa NamuelewaWajinga eeh ?
Weekend Ishaanza MkuuIla haya maisha asubuhi hii kali tayari mtu kashadinda π
Mkuu hujaachaga tu hizi tabia πSikuwajua huyu ni member wa JF hadi jana kanitumia picha PM na kumuona liveView attachment 3635777View attachment 3635778
Nimeweka Mipaka Nimebakiza na Sehemu ya Akili Timamu,Siingiagi Mzima Mzima.Atashtuka kachelewa sana
Na mie sijui kama ni member wa jf huyu, ngoja nimuombe nionane nae naweza okota dodo.. Inaonekana JF kuna wadada na wamama wazuri sanaaa eeh π₯ΈMkuu hujaachaga tu hizi tabia π
Ndugu Mtoa Hoja Nikikushauri kwa Hili Toto La kisambaa Ntakuchanganya.Sikuwajua huyu ni member wa JF hadi jana kanitumia picha PM na kumuona liveView attachment 3635777View attachment 3635778