Binti Member mwenye haiba ya Kibantu nimekuverify

Binti Member mwenye haiba ya Kibantu nimekuverify

Nikisema Nikuahidi Mbwembwe Za G.S.M wa Katoro Ntakudanganya Mimi Na Uongo Hatukai Zizi Moja,

Mimi Ni Mwembamba Wa Mwili ila Mnene Wa Mahaba Nakuahidi Bima Ya Amani Moyoni Na kifurushi Cha Tabasamu Usoni,

Hakika Mipango Miji Wangechukua Case Study Mwili Wako kwa jinsi Ulivyopangiliwa Vizuri Nchi Yetu Isingekua na Mitaa Na Makazi Holela,

Unanikosha Sana Kwanza Una Haiba Ya Kike,Pili Una Madaha Na Mapozi ya Hadhi ya Nyota Saba,Tatu Mungu Alizingatia Itaifaki Kipindi Anakuumba,

Yalaiti Ningekua Na Cheo Wizara ya Ardhi NINGETOA LILE SANAMU LA POSTA NIWEKE SANAMU LAKO NA HAKIKA KWA UZURI WAKO JUA LA DAR LINGEPUNGUZA MAKALI YAKE.
Mnene wa Mahaba 🙌
 
Back
Top Bottom