Oho
JF-Expert Member
- Jul 21, 2026
- 477
- 1,258
JF inavyomboo asieee.. seme wadau wananipa angalizo kwamba napigwa sijui kipi ni kipi.. ila acha nijilipueNdugu Mtoa Hoja Nikikushauri kwa Hili Toto La kisambaa Ntakuchanganya.
JF inavyomboo asieee.. seme wadau wananipa angalizo kwamba napigwa sijui kipi ni kipi.. ila acha nijilipueNdugu Mtoa Hoja Nikikushauri kwa Hili Toto La kisambaa Ntakuchanganya.
Chombo Imesimama Haina Kipengele,Labda Uje Nacho Wewe😀JF inavyomboo asieee.. seme wadau wananipa angalizo kwamba napigwa sijui kipi ni kipi.. ila acha nijilipueView attachment 3635789View attachment 3635790
Unanishaurije hapa kaka mkubwaChombo Imesimama Haina Kipengele,Labda Uje Nacho Wewe😀
😀😀😀 Kwanini Unaulivyo Hivyo?Mshahara ushatoka!?
Eeee,maana mlipoteana humu,Sasa mshazipeta zinawawasha.😀😀😀 Kwanini Unaulivyo Hivyo?
Kwenye Hisia Sishauligi mtu Hapo utajijua mwenyewe kama Unaingia mzima mzima au nusu nusu😀Unanishaurije hapa kaka mkubwa
Mishahara tenaMshahara ushatoka!?
Ndiyo .Mishahara tena
Punguza kasi Tutakimbia TenaEeee,maana mlipoteana humu,Sasa mshazipeta zinawawasha.
Una maana Gani mkuu?Rasmi kuna mtu anaenda kufekewa kichaka chake.
Mshahara na utamu ni adui haviendani 😅😅Ndiyo .
Mapenzi Bhana Sijui Na Maneno Yanatokaga Wapi,Hakuna Cha Ngugi Wa Thiong'o Wala nini.Sawa Ngugi wa Thiong'o
Hahahhahaha,Wacha viendane.Mshahara na utamu ni adui haviendani 😅😅
Ndio maama vijana wanakwama.. 😅😅Hahahhahaha,Wacha viendane.
Wanayataka wenyewe 😂Ndio maama vijana wanakwama.. 😅😅
Waoneeni huruma
Kisa utamuuu eeeh 😅😅Wanayataka wenyewe 😂
Wacha wajipakulie minyama.Kisa utamuuu eeeh 😅😅