JF inavyomboo asieee.. seme wadau wananipa angalizo kwamba napigwa sijui kipi ni kipi.. ila acha nijilipueNdugu Mtoa Hoja Nikikushauri kwa Hili Toto La kisambaa Ntakuchanganya.
Chombo Imesimama Haina Kipengele,Labda Uje Nacho WeweπJF inavyomboo asieee.. seme wadau wananipa angalizo kwamba napigwa sijui kipi ni kipi.. ila acha nijilipueView attachment 3635789View attachment 3635790
Unanishaurije hapa kaka mkubwaChombo Imesimama Haina Kipengele,Labda Uje Nacho Weweπ
πππ Kwanini Unaulivyo Hivyo?Mshahara ushatoka!?
Eeee,maana mlipoteana humu,Sasa mshazipeta zinawawasha.πππ Kwanini Unaulivyo Hivyo?
Kwenye Hisia Sishauligi mtu Hapo utajijua mwenyewe kama Unaingia mzima mzima au nusu nusuπUnanishaurije hapa kaka mkubwa
Mishahara tenaMshahara ushatoka!?
Ndiyo .Mishahara tena
Punguza kasi Tutakimbia TenaEeee,maana mlipoteana humu,Sasa mshazipeta zinawawasha.
Una maana Gani mkuu?Rasmi kuna mtu anaenda kufekewa kichaka chake.
Mshahara na utamu ni adui haviendani π πNdiyo .
Mapenzi Bhana Sijui Na Maneno Yanatokaga Wapi,Hakuna Cha Ngugi Wa Thiong'o Wala nini.Sawa Ngugi wa Thiong'o
Hahahhahaha,Wacha viendane.Mshahara na utamu ni adui haviendani π π
Ndio maama vijana wanakwama.. π πHahahhahaha,Wacha viendane.
Wanayataka wenyewe πNdio maama vijana wanakwama.. π π
Waoneeni huruma
Kisa utamuuu eeeh π πWanayataka wenyewe π
Wacha wajipakulie minyama.Kisa utamuuu eeeh π π