Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Sawa.Mungu Alizingatia Itaifaki Kipindi Anakuumba,
Haya leo ijumaa acha tumalize ibada kwanza, maana mambo ni mengi yahusuyo utamu πWacha wajipakulie minyama.
ππππHaya leo ijumaa acha tumalize ibada kwanza, maana mambo ni mengi yahusuyo utamu π
Nani Huyo Mkuu?Nafikiria atakuwa nani huyo
Eti babu yangu aliniambia hata Kinjekitile Ngwale alikuwa analizwa na mapenzi.Atashtuka kachelewa sana
Mapenzi yanatesa mkuuEti babu yangu aliniambia hata Kinjekitile Ngwale alikuwa analizwa na mapenzi.
Nilishangaa sana ujue!
Sawa, lakini hadi kinjekitile ateswe na penzi! π€Mapenzi yanatesa mkuu
Mnene wa Mahaba πNikisema Nikuahidi Mbwembwe Za G.S.M wa Katoro Ntakudanganya Mimi Na Uongo Hatukai Zizi Moja,
Mimi Ni Mwembamba Wa Mwili ila Mnene Wa Mahaba Nakuahidi Bima Ya Amani Moyoni Na kifurushi Cha Tabasamu Usoni,
Hakika Mipango Miji Wangechukua Case Study Mwili Wako kwa jinsi Ulivyopangiliwa Vizuri Nchi Yetu Isingekua na Mitaa Na Makazi Holela,
Unanikosha Sana Kwanza Una Haiba Ya Kike,Pili Una Madaha Na Mapozi ya Hadhi ya Nyota Saba,Tatu Mungu Alizingatia Itaifaki Kipindi Anakuumba,
Yalaiti Ningekua Na Cheo Wizara ya Ardhi NINGETOA LILE SANAMU LA POSTA NIWEKE SANAMU LAKO NA HAKIKA KWA UZURI WAKO JUA LA DAR LINGEPUNGUZA MAKALI YAKE.
πππNdo maana jua kali sana kumbe mambo yenyewe ndo haya
πππMnene wa Mahaba π
Sawa, lakini hadi kinjekitile ateswe na penzi! π€
Hatari sanaπππ
Ni Tabasamu la Milele MkuuBima ya amani moyoni ndio ipi hiyo?
Hayanaga Baunsa MkuuEti babu yangu aliniambia hata Kinjekitile Ngwale alikuwa analizwa na mapenzi.
Nilishangaa sana ujue!
Ila Hata Sjui Nilimaanisha niniMnene wa Mahaba π
Una Maana gani mkuu?Rasmi kuna mtu anaenda kufekewa kichaka chake.
unahisi atakua nani mkuu?Nafikiria atakuwa nani huyo
Ameen Mkuu