Alikuwa hapewi ugali.Karudishwa akiwa kakonda.Kafanywa nini?
Hatari kweli.Ni vema kuwapa tahadhari na ikibidi kuwakataza mabinti wasiende huko waonapo matangazo ya kazi yaliyojaa utapeli.Huyo kama tigo imenusurika basi ashukuru Mungu hao sio viumbe wa kuishi nao pamoja..
Hao sio watu, ni kama simba flani hivi..!!! Naogopa kuwahusisha na dini yaoHiyo nchi ya kidini.. ila raia wake ni kama hawana dini.
Wana roho mbaya sana waarabu..
Khashoggi walimchinja kama kuku ubalozini