nawaza tu kwa uzuri huu na maisha mazuri kwao , wangekuwa nao hawa dada zetu wazaramo, je wangekubali kazi ya ukonda ?
halafu ukondakta wa basi mbona sio kazi mbaya, kiukweliSasa maisha yakiwa mazuri kwao ndyo asitafute pesa yake jamani...acheni kujaji
Wewee,mzazi mie siwezi kuwa na hela nisimpe mtaji mwanangu afanye biashara aje kuwa na hela kama mimi akawe konda,hao wazazi ukiona hvyo wameshakata pumzi kwenye mpunga
Unaweza kuta mabus ni ya kwao ttz liko wapi
Wabongo ttz mpka wapande lift hadi floor ya 7 ndio wanaona wanafanya kaziInasemekana ni ma bus ya ndugu yake