fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Unajuaje labda yupo sehemu ya Biashara za familia na ukonda ni sehemu ya kuexperience the business on the road?habari ya jumamosi.
ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi.
mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus.
nawaza tu kwa uzuri huu na maisha mazuri kwao , wangekuwa nao hawa dada zetu wazaramo, je wangekubali kazi ya ukonda ?
View attachment 2892759
View attachment 2892763
View attachment 2892765
View attachment 2892770
View attachment 2892766
View attachment 2892775