EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Nitaipigia puli hii picha baadaeHakuna kitu hapo,,hamjetembea nyie ...oneni vitu,, Zungukeni duniani muone zigo classics za kuvunja chaga.View attachment 3019804
Bora yako umekua mkweli. Wanajidai kuponda hapa ila ukweli wanaujua, mara nywele feki mara kajichubua kumbe wivu tu.
Wa kawaida tuKwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
Kabisa ni mzuri D.Hivi kumbe wanaume nao wana wivu[emoji1787][emoji1787]
Diana mzuri bwana
Zezeta amekaaje mkuuHana uzuri wowote zaidi ya rangi. Amekaa kama zezeta.
kama huyo umuonavyo.Zezeta amekaaje mkuu
Sio kwamba una wivu jamaakama huyo umuonavyo.
wewe ndio umeweka wazi.hanaurembo wowote.
Wivu unakusumbuaKwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
Hivii..!! mrembo si anapatikana baada ya kujiremba? AU mimi ndo sielewi?Kwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
wewe ndio umeweka wazi.hanaurembo wowote.
nakama anamiaka 27 lakini sura naumbo nikama wamiaka 30+ akifika huko itakuaje?
kapatahela zakujipodolea anaanza ku
bundle lako, simu yako na maoni ni yako kama ilivyo kwangu vile vile. Ukihisi comment yangu imekukera sana kuna button ya ignore, ibonyeze tu.Sio kwamba una wivu jamaa