Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Nakubali Mzee wangu Yani kiufupi demu ana sura mbiliKwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
Home and Away