The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Ingekua tunaweza kujiombea ungekua unazisikia hizi sarakasi mitaani? Unajua mwanzo wa matatizo yote haya unayashuhudia ni hii hii dog mkia mbele, mathalan kama wanaume wangekua sawa, unafikiri hizi kesi za unyanyasaji wa kingono makazini au ubakaji, mambo ya kinyume cha maumbile kwa me na ke yangekuwepo? Walaji wa hizo bidhaa zote ni wanaume. Maombi muhimu rafiki.Kama hii kwao mbovu basi wanawake zao kama malaika wenzetu, itabidi muanze kujiombea