Ingekua tunaweza kujiombea ungekua unazisikia hizi sarakasi mitaani? Unajua mwanzo wa matatizo yote haya unayashuhudia ni hii hii dog mkia mbele, mathalan kama wanaume wangekua sawa, unafikiri hizi kesi za unyanyasaji wa kingono makazini au ubakaji, mambo ya kinyume cha maumbile kwa me na ke yangekuwepo? Walaji wa hizo bidhaa zote ni wanaume. Maombi muhimu rafiki.Kama hii kwao mbovu basi wanawake zao kama malaika wenzetu, itabidi muanze kujiombea
Wewe ni maskini,yaani Laki 2 ndio ishu sana kwako? Kwanza huyo demu sio wa Laki 2 labda Laki 5 kuendelea
aiseee.......Maisha Yana mambo mengi sana. Imagine huyu binti na hizi kelele zote ameenda kuleta dhahama Kwa mahusiano ya kijana wa watu.
Varangati lake ikabidi wazee wa kijana waingilie kati sfukuzwe Kwa nguvu na kufungashwa virago.
Ni kweli hayo ni mambo yake binafsi lakini asipotoshe umma kwamba uzuri wake ni tatizo linalotishia yeye kufanya kazi vizuri Kwa ufanisi.
Yeye ndio ana hayo mawazo, kigezo cha uzuri kimetawala kichwa chake na ndio Kila kitu kwake.
Gunia!
Ni mzuri lakini kuna mahali kwenye akili yake hapako sawa..angesubiri watu wamsifie. Yeye angeendelea na harakati zake bila kuzungumzia uzuri wake
Kwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
Amesha leta varangati kwenye ndoa za watu kumbe doohMaisha Yana mambo mengi sana. Imagine huyu binti na hizi kelele zote ameenda kuleta dhahama Kwa mahusiano ya kijana wa watu.
Varangati lake ikabidi wazee wa kijana waingilie kati sfukuzwe Kwa nguvu na kufungashwa virago.
Ni kweli hayo ni mambo yake binafsi lakini asipotoshe umma kwamba uzuri wake ni tatizo linalotishia yeye kufanya kazi vizuri Kwa ufanisi.
Yeye ndio ana hayo mawazo, kigezo cha uzuri kimetawala kichwa chake na ndio Kila kitu kwake.
Kwakweli mambo ya Khartoum siwezi kuyasemea.....labda Azarel atuambie, amesema kapiga eti.Evelyn Salt vipi kuhusu joto la Khartoum Sudan π€π€π€
Kabisa hili guu uwe unampiga ile style ya miguu kwa mabega aisee huku uyaangalia hayo macho yake itakuwa π₯π₯π₯π₯π₯Kwakweli ni mzuri, hilo guu, jicho sasaπππ